(Print) Use this randomly generated list as your call list when playing the game. There is no need to say the BINGO column name. Place some kind of mark (like an X, a checkmark, a dot, tally mark, etc) on each cell as you announce it, to keep track. You can also cut out each item, place them in a bag and pull words from the bag.
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
Mama yangu alinipikia
Mfanyakazi wa duka alinisaida.
Nilinunua mboga
Niliumwa na tumbo.
Nilipata maembe, matofaa, matungwa,na mananasi katika sokoni
Nilichora na rangi ya kibichi.
Mama yangu alituambia "Tule!"
Niliishi na familia yangu.
Familia yangu na mimi hatukupika chakula pamoja
Nilichora na rangi ya samawati.
Rafika yangu na mimi tulienda mkahawani.
Mama yangu aliniambia "Laleni!"
Niliumwa na kicha.
Nilinunua tishu.
Dada yangu alinipikia
Baba yangu alinipikia
Nilikunywa kahawa ya kahawia.
Nilinunua barakoa.
Nilienda kulala kabla saa saba usiku.
Nilitumia barakoa hii.
Nilikuwa mgonjwa
Niliangalia Netflix.
Nilivaa soksi nyeupe.
Sikusafari nchi nyingine
Nilivaa soksi nyeusi
Nilicheza michezo na familia.
Niliagiza chakula.
Nilienda kulala baada saa saba usiku.
Niliamka katika saa moja au saa tatu asubuhi
Baba yangu alinisema "Kujeni Nyumbani!"
Sikuenda kazini kwa sababu mimi si mfanyakazi muhimu.