ukotayari?mtihaniitakuwarahisiKunamgenidarasaniwikendiyakoilikuwaaje?karibukitihadithitafadhalisikuyangu yakuzaliwani keshoninapendakusomagazetileoninafurahafungamlangoninaswaliJe, unapendakufanya ninikutika mudawako waziada?ninaombanambariyako yasimunambariya simumimihuendeshabaiskeliyangu kilasikuleotutasikilizanyimbo zamapenziMweziinayofuatanitaendalikizoUfaransaNimetokanyumbaniJe, unamudawikendihii?Je,ulikuwana usikunjema?kitabuninanduguwatanofunguamlangonimeshindazawadi!ninaongeaKiswahilikidogonitapitamtihanimsimuwakiangaziNinaendashuleniukotayari?mtihaniitakuwarahisiKunamgenidarasaniwikendiyakoilikuwaaje?karibukitihadithitafadhalisikuyangu yakuzaliwani keshoninapendakusomagazetileoninafurahafungamlangoninaswaliJe, unapendakufanya ninikutika mudawako waziada?ninaombanambariyako yasimunambariya simumimihuendeshabaiskeliyangu kilasikuleotutasikilizanyimbo zamapenziMweziinayofuatanitaendalikizoUfaransaNimetokanyumbaniJe, unamudawikendihii?Je,ulikuwana usikunjema?kitabuninanduguwatanofunguamlangonimeshindazawadi!ninaongeaKiswahilikidogonitapitamtihanimsimuwakiangaziNinaendashuleni

Swahili Bingo (phrases) - Call List

(Print) Use this randomly generated list as your call list when playing the game. There is no need to say the BINGO column name. Place some kind of mark (like an X, a checkmark, a dot, tally mark, etc) on each cell as you announce it, to keep track. You can also cut out each item, place them in a bag and pull words from the bag.


1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
  1. uko tayari?
  2. mtihani itakuwa rahisi
  3. Kuna mgeni darasani
  4. wikendi yako ilikuwa aje?
  5. karibu kiti
  6. hadithi
  7. tafadhali
  8. siku yangu ya kuzaliwa ni kesho
  9. ninapenda kusoma gazeti
  10. leo nina furaha
  11. funga mlango
  12. nina swali
  13. Je, unapenda kufanya nini kutika muda wako wa ziada?
  14. ninaomba nambari yako ya simu
  15. nambari ya simu
  16. mimi huendesha baiskeli yangu kila siku
  17. leo tutasikiliza nyimbo za mapenzi
  18. Mwezi inayofuata nitaenda likizo Ufaransa
  19. Nimetoka nyumbani
  20. Je, una muda wikendi hii?
  21. Je, ulikuwa na usiku njema?
  22. kitabu
  23. nina ndugu watano
  24. fungua mlango
  25. nimeshinda zawadi!
  26. ninaongea Kiswahili kidogo
  27. nitapita mtihani
  28. msimu wa kiangazi
  29. Ninaenda shuleni