(Print) Use this randomly generated list as your call list when playing the game. There is no need to say the BINGO column name. Place some kind of mark (like an X, a checkmark, a dot, tally mark, etc) on each cell as you announce it, to keep track. You can also cut out each item, place them in a bag and pull words from the bag.
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
Anajulikana kwa kila mara kuangalia maoni kwa simu na picha baada ya mauzo
Wa kwanza kupokea wateja wanapoingia
Anasimamia mzunguko wa kuonyesha vigae kwenye duka
Mara nyingi hupiga simu na kufuatilia usafirishaji hadi mwisho
Anashughulikia akaunti zote zinazochukuliwa kama “miradi”
Anahusika na kupokea maagizo yote kwenye ghala
Huamua punguzo la mwisho linalotolewa
Mbunifu zaidi katika mambo ya ubunifu wa mapambo
Anawajua madereva wengi wa kusafirisha bidhaa
Hutengeneza na kutoa nukuu zote na risiti za EFD
Anahakikisha malipo katika mashine ya pesa/pesa ndogo (petty cash)
Hupokea simu zote na hana aibu kushughulikia wateja kwa njia ya simu
Anajua zaidi kuhusu vigae na hutufundisha juu yake
Anashughulikia mitandao yetu ya kijamii na picha za bidhaa
Mteja hupendelea zaidi kuhudumiwa naye (yaani anayependwa zaidi)